Mwanadada mwenyeji wa Kigoma mjini akitoa maoni yake kuhusu
makundi yaliyoshiriki Dansi La Fiesta 2013 siku ya Alhamisi 17 August
2013 ndani ya club Lake View Kigoma mjini.
Alex Mzambele akiwa na Adam
Mchomvu wakitangaza washindi wa Dansi La Fiesta usiku wa Alhamisi 15
August ndani ya club ya Lake View Kigoma mjini.
No comments:
Post a Comment