Friday, August 16, 2013

Hit list ya Fiesta Kigoma yatembelea kaburi la Ngwear kabla ya safari


Wasanii wa Bongo fleva watembelea kaburi la marehemu Albert Mangwea,(Kihonda) Mjini Morogoro asubuhi ya leo na kumuombea dua pale walipokuwa wakipita kuelekea mkoani Kigoma
kwa ajili ya kukitifua kwenye uzinduzi wa tamasha la Fiesta 'Twenzetu'ambalo mwaka huu linaanzia mkoani Kigoma. Fiesta inatarajiwa kuzinduliwa siku ya Juma Mosi ndani ya viwanja vya Lake Tanganyika kwa kiingilio cha shilingi 3000 tu, huku zaidi ya wasanii 25 watapanda stage. Chanzo:> TeenTz

No comments:

Post a Comment